TESSA > Tanzania

Tanzania

Karibu kwenye Jumuiya ya TESSA, Tanzania

The Open University of Tanzania››

Nyenzo za TESSA zimekwisha andaliwa na kuchaguliwa na wataalam wa kitaifa. Unaweza kupata nyenzo za TESSA, midahalo na sehemu ya TESSA kutoka katika ukurasa wa mtandao wa nchi husika.

Kwa sasa, Moduli za TESSA za Ujuzi wa Kufundika Kusoma na Kuandika (Lugha); Kuhesabu; Maarifa ya Jamii na Sanaa; na Stadi za Maisha zinapatikana.

Elimu ya Msingi Rasilimali

Downloads

Shusha ya vifaa vyote kwa kompyuta yako ndani bonyeza hapa (Faili hii ni kubwa sana hivyo inaweza kuchukua muda mrefu kwa shusha).

Rasilimali nyingine